PrimeLogic
PrimeLogic inakupa uwezo kamili wa kudhibiti ada za wanafunzi, ripoti za kifedha, na takwimu za shule kwa usalama wa hali ya juu.
Tunachokufanyia
Dhibiti malipo ya ada na tengeneza risiti za kidijitali kwa urahisi.
Pata ripoti za kifedha na mwenendo wa mapato kwa wakati halisi.
Data zako zinalindwa na usimbaji wa hali ya juu na backups za uhakika.
Wasiliana nasi leo kupitia WhatsApp au barua pepe tukufungulie au tukuunganishie mfumo huu ili kurahisisha usimamizi wa shule yako.